Unahitaji Vifaa vya electronics?


Je, unahitaji laptop, smartphone ama tablet (i.e iPad)?

  • Je, unahitaji desktop, laptop, smartphone ama tablet (i.e iPad)
  • Je, unahitaji ushauri kuhusu desktop, laptop, smartphone ama tablet (i.e iPad)?
  • Je, unahitaji kujua namna ya kutunza na kutumia desktop, laptop, smartphone ama tablet (i.e iPad)?
  • Je unahitaji kujua namna ya kufanya mawasiliano kwenye desktop, laptop, smartphone ama tablet (i.e iPad), mfano google talk, SKYPE, bookmarking sites, social network nk?
  • Je unahitaji kujua namna ya kuweka wa kumbukumbu na nyaraka na data zako bila ya kutegemea desktop, laptop, smartphone ama tablet (i.e iPad) yako ili hata kama ikitokea umeibiwa ama kuharibika uweze kupata nyaraka zako ?
  • Je, unahitaji vifaa vingine vya ki-electronic?
  • Je, unahitaji ku-install application program mbalimbali kama vile "ant-virus"?



KAMA JIBU NI NDIO, Wasiliana nami