Tuesday, October 25, 2011

Unahitaji LAPTOP

Je, unahitaji LAPTOP?

·        Je, unahitaji ushauri kuhusu LAPTOP?

·        Je, unahitaji kujua ukubwa (Hard-disk space), uwezo (Memory) na wepesi/uharaka (processing speed) wa LAPTOP?

·        Je, unahitaji LAPTOP kwa ajili ya shughuli gani na ipi inafaa?

·        Je, unahitaji kujua namna ya kutumia LAPTOP? Utunzaji na ulinzi?

·        Je unahitaji kujua namna ya kufanya mawasiliano kwenye LAPTOP yako, mfano google talk, SKYPE, bookmarking sites, social network nk?

·        Je unahitaji kujua namna ya kuweka wa kumbukumbu na nyaraka (records/documents) zako bila ya kutegemea kompyuta ama laptop yako ili hata kama ikitokea umeibiwa LAPTOP ama imeharibika, bado unaweza kupata nyaraka zako ?

·        Je, unahitaji vifaa vingine vinavyohusiana na LAPTOP? Kama vile “external hard disk”, “USB Flsh disk”, “Microphone” nk?

·        Je, unahitaji ku-install application program (Ms Word, Excel, PowerPoint, access nk)?

·        Je, unahitaji kuweka ant-virus kwenye LAPTOP yako?



KAMA JIBU NI NDIO, Wasiliana nami