Je, unahitaji LAPTOP?
· Je, unahitaji ushauri kuhusu LAPTOP?
· Je, unahitaji kujua ukubwa (Hard-disk space), uwezo (Memory) na wepesi/uharaka (processing speed) wa LAPTOP?
· Je, unahitaji LAPTOP kwa ajili ya shughuli gani na ipi inafaa?
· Je, unahitaji kujua namna ya kutumia LAPTOP? Utunzaji na ulinzi?
· Je unahitaji kujua namna ya kufanya mawasiliano kwenye LAPTOP yako, mfano google talk, SKYPE, bookmarking sites, social network nk?
· Je unahitaji kujua namna ya kuweka wa kumbukumbu na nyaraka (records/documents) zako bila ya kutegemea kompyuta ama laptop yako ili hata kama ikitokea umeibiwa LAPTOP ama imeharibika, bado unaweza kupata nyaraka zako ?
· Je, unahitaji vifaa vingine vinavyohusiana na LAPTOP? Kama vile “external hard disk”, “USB Flsh disk”, “Microphone” nk?
· Je, unahitaji ku-install application program (Ms Word, Excel, PowerPoint, access nk)?
· Je, unahitaji kuweka ant-virus kwenye LAPTOP yako?
KAMA JIBU NI NDIO, Wasiliana nami
No comments:
Post a Comment