Wednesday, August 28, 2013

RIP Shemeji yangu Annastazia Rwegasira Kalumuna

RIP shemeji yangu Annastazia Rwegasira Kalumuna.Binafsi nilikupenda na kukuheshimu sana. Ulikuwa na upendo wa kweli kabisa. Uliwapenda watu wote hasa wanao (Irene na Ange) pamoja na mumeo Isaac Kalumuna. Tunahaidi kuwa kwa kushirikiana na kaka yangu (mumeo) tutawatunza wanao kikamilifu!
Photo: Hakika nilikupenda sana shemeji yangu (Annastazia Rwegasira Kalumuna). Hakika kwa wewe ulikuwa shemeji sijui nisemeje! wa ukweli. Umeacha mume na watoto (Angel na Irene). Najua ulivyowapenda watu wote hasa mumeo na watoto. Tutajitahidi kuwa karibu nao ili wasiwe wapweke. Kifo chako cha ghafla kinatuuma sana ukizingatia uliendesha gari mwenyewe kwenda kuchoma sindano ya mwisho iliyokatisha maisha yako! RIP!!
Kuhusu jinsi mazishi ya Annastazia Rwegasira Kalumuna yalivyokuwa kijijini kwetu, Buganda Kamachumu Bukoba alhamisi ya tarehe 29 mwezi wa nane 2013, tembelea blogu hii hapa JAMCO BK 

No comments:

Post a Comment